Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, Gari , Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako.
1. Pakua 'Twende' bure, kisha kamilisha usajili
2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha uanze kuomba usafiri
3. Unaweza kuangalia eneo alilopo dereva na kadri anavyo kukaribia ,utaweza kutulia na kufurahia safari yako!
4. Mwisho wa safari utaweza lipa nauli yako.